SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, October 21, 2013

VIDA MAHIMBO AZINDUA COLLECTION KALI YA KIMATAIFA ‘FACE OF SUMMER 2014’

DSC_0594
Muonekano wa Duka la Atsoko Beauty and Cosmetics lililopo Mikocheni jijini Dar palipofanyikia uzinduzi wa ‘Face of Summer 2014’ Collection mpya ya Mbunifu wa Mavazi Vida Mahimbo.
DSC_0542
Event ilianza mchana majira ya Saa Sita mchana ambapo wadau wa masuala ya Urembo walipata nafasi ya kuangalia Collection mpya New Khanga T-shirts and Jeans yenye rangi za Kimataifa inayoitwa ‘Face of Summer 2014’ sambamba na kujipatia ushauri wa bure wa namna ya kupaka Make Up pamoja na utunzaji wa kucha kutoka kwa wataalam waliobeba kwenye fani ya urembo. (Pichani ni Wateja wakiangalia collection mpya ya Nguo za Mbunifu wa Mavazi nchini Vida Mahimbo) (Picha na Zainul Mzige, MOblog).
.Ni tukio la kwanza ‘face of summer 2014’ lenye muonekano wa rangi za kimataifa
Na Damas Makangale, Moblog
MBUNIFU wa mavazi Vida Mahimbo wa jijini Dar es Salaam Jumamosi ya wiki iliyopita amezindua ‘Collection’ yake ya ‘Face of Summer 2014’ yenye muonekano wa rangi za kimataifa.
“Nimekuwa kwenye tasnia ya mitindo na mavazi kwa takribani miaka minne na leo nimezindua ubunifu mpya wa mavazi inaoendana na rangi za kimataifa hasa kwenye T-shirts na jeans,” amesema Mahimbo
Mahimbo amesema kwamba yeye ana tengeneza nguo hasa za kike lakini ambazo zinaweza kuvaliwa karibu kila siku na watu wa rika mbalimbali wa kimataifa na watu wa kawaida.
DSC_0546
Zipo Make Up za kila aina zinazoendana na ngozi ya mteja ambapo pia unaweza kupata kwa bei Jumla na reja reja. Pichani wageni mbalimbali wanaopenda urembo wakiangalia Make up wakati wa uzinduzi huo uliofanyika kwenye Duka la Atsoko Beauty and Cosmetic lililopo Mikocheni jijini Dar.
DSC_0548
Amesema kwamba ameamua kumchangua (Sing Bird) Shaa kama balozi wake kwa sababu ni mtu anayeweza kuwakilisha vyema kwenye sanaa kutokana na mavazi, muonekano na uelewa wake mkubwa katika mambo ya mitindo hapa nchini.
Mahimbo alisisitiza kwamba tukio hilo la Jumamosi iliyopita imetoa nafasi kwa wateja wake wa ndani na nje ya nchi kuweza kuona collection yake mpya ya 2014 hasa khanga na jeans.
DSC_0860
DSC_0578
Mtaalamu wa kucha katika Duka la Atsoko Beauty and Cosmetic Maryciana Naivasha akiwasikiliza wateja waliofika duka hapo.
Katika tukio hilo alishirikiana Atsoko wa duka la vipodozi kuandaa ‘Face of Summer 2014’ katika kuwapa watu waliotembelea nafasi ya kuona kazi zake mpya za sanaa ya ubunifu, amesema
Shaa alichaguliwa kuwa balozi wa tukio hili na waandaaji kutokana na kuwa na sifa ambazo wao walizihitaji. Vida Mahimbo, Shaa, Rio Paul na Mary.
Kwa sasa wateja wa nchini wataweza kupata bidhaa ya T-shirts Khanga na Jeans katika duka la Atsoko Beauty and Cosmetics zilizotengenezwa na Vida Mahimbo.
DSC_0576
Mmoja wa wateja akisoma brochures za bidhaa za Atsoko Beauty and Cosmetic.....She is so fine....!
DSC_0857
DSC_0585
Peroni Italy were there to Serve to the Guest.
DSC_0600
Flora Chacha akimpaka Make up mhudumu wa Peroni kuleta muonekano mzuri zaidi kwa wageni waalikwa.
DSC_0624
Balozi wa ‘Face of Summer 2014’ (Song Bird) Shaa posing with Flora Chacha of Atsoko Beauty and Cosmetics.
DSC_0630
Mbunifu wa Mavazi Vida Mahimbo na Balozi wa ‘Face of Summer 2014’ (Song Bird) Shaa.
DSC_0639
Mbunifu wa Mavazi Vida Mahimbo(kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa ‘Face of Summer 2014’ (Song Bird) Shaa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Atsoko Beauty and Cosmetic Marie Englesson (kushoto) pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Duka hilo.
DSC_0656
Balozi wa ‘Face of Summer 2014’ (Song Bird) Shaa akiangalia Collection mpya ya Vida Mahimbo.
DSC_0672
Wageni mbalimbali wakisalimiana na Mbunifu wa Mavazi Vida Mahimbo (kushoto). Katikati ni Mbunifu wa Mavazi Eskado Bird.
DSC_0676
Mtaalam wa kucha Maryciana Naivasha (katikati) Balozi wa ‘Face of Summer 2014’ (Song Bird) Shaa pamoja na Mtaalamu wa urembo Duka la Atsoko Beauty and Cosmetic Flora Chacha wakibadilishana mawazo (kulia).
DSC_0681
Wow Amazing Collection...!
DSC_0694
DSC_0680
DSC_0689
Ladies were busy with the Beauty Products from Atsoko Beauty and Cosmetic.
DSC_0697
DSC_0700
Showing some love and Support for Vida Mahimbo.
Kwa picha zaidi ingia humu

0 comments:

Post a Comment