SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, October 21, 2013

TIMKA NA BODABODA YA VODACOM YAPAMBA MOTO

a_5681e.jpg
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,akiwaonesha waandishi wa Habari (hawapo pichani)namba ya simu ya mshindi aliejishindia Pikipiki katika promosheni ya"Timka na Bodaboda"inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumla ya washindi(15)wamejishindia Pikipiki na wengine(6)wamejinyakulia shilingi Milioni moja moja.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544,anaeshuhudia kushoto ni Afisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Humudi Abdulhussein.
u_5df2f.jpg
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akiongea na simu na mmoja wa washindi wa Pikipiki katika promosheni ya"Timka na Bodaboda"inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumla ya washindi(15)wamejishindia Pikipiki na wengine(6)wamejinyakulia shilingi Milioni moja moja.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544,anaeshuhudia kushoto ni Afisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Humudi Abdulhussein.
v_a123e.jpg
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,akisisitiza jambo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)kuhusiana na umuhimu wa watanzania na wateja wa Vodacom kushiriki katika Promosheni ya "Timka na Bodaboda"ambapo,Jumla ya washindi(15)wamejishindia Pikipiki na wengine(6)wamejinyakulia shilingi Milioni moja moja.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544,Wengine kushoto ni Afisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Humudi Abdulhussein.

0 comments:

Post a Comment