Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa SSB Group, Said Salim
Bakhresa alipofika kwenye kiwanda hicho, eneo la Mwandege katika mkoa wa
Pwani leo, kwa ajili ya kukifungua rasmi. Katikati ni Mama salma
Kikwete
Rais Kikwete akiwasalimia baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Pwani, Hajjat, Mwantum Mahiza.
Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Said Salim Bakhresa (kulia) wakati
akitoa ufafanuzi kuhusu kiwanda chake hicho kinavyopambana ana hasara
inayosababishwa na kutokuwa na umeme wa Tanesco
Mazungumzo yakiendelea kwenye ukumbi wa kiwanda hicho
Rais Kikwete akitazama baadhi ya bidhaa za 'Malt' za kiwanda hicho
"Naam. bidhaa hizi ni Bora", akasema Rais Kikwete
Rais Kikwete akieleza haja ya Tanesco kuwekeza huduma zake kwenye
kiwanda hicho ili kupata fedha kwa manufaa ya Shirika hilo la Umeme
Rais Kikwete na mwenyeji wake Saidi Bakhresa wakitoka kwenye mazungumzo
tayari kwa ajili ya Rais kutembelea maeneo mbalimbali ya uzalishaji
kiwandani hapo
"Unaona hukooo" Bakhresa akimuonyesha kitu Rais Kikwete katika eneo la uzaloishaji vinywaji vya Azam Malt.
Bidshaa zenyewe ndizo hizo....
Rais akipata maelezo kutoka kwa mtaalam katika chumba cha maabara ya kiwanda hicho
"tunafanya hivi halafu hivi.... kujidhirisha kuwa bidhaa ni bora anasema mtaalam
Rais akionyeshwa mitambo ya kisasa ya kusindika bidhaa za malt
Hapa ni kwenye eneo la Azam Cola
Rais akionyshwa matunda yanayotumika kutengenezea bidhaa za Azam malt
Rais akitoka baada ya kutembelea kiwanda
Burudani ya JWTZ ikihanikiza nje wakati Rais akienda kufungua rasmi kiwanda hicho
Rais Jakaya Kikwete akizindua kiwanda kipya cha kusindika maji ya
matunda na soda cha Bakhresa Food Products Ltd, kilichopo Mwandege, mkoa
wa Pwani, leo, Oktoba 13, 2013. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara
Dk. Abdallah Kigoda na Kushoto ni Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete na
Mwenyekiti wa Kampuni za Azam, Said Salim Bakhresa.
Rais Jakaya Kikwete akizindua kiwanda hicho.
Rais akimpongeza Bakhresa
Rais akizungumza baada ya kuzindua kiwanda hicho
0 comments:
Post a Comment