SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, October 21, 2013

Mkuu Mizengo Pinda Awasili Shenzhen China

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakipokea zawadi  ya maua kutoka kwa Xu Xzao Qing (kulia) na Wu  Li  (Wapili  kulia)  baada ya kuwasili kwenye  Makao Makuu ya Kampuni ya Elektroniki na Mawasiliano ya HUAWEI  yaliyopo Shenzhen China Oktoba 20, 2013. Walikuwa katika ziara ya kikazi nchini humo.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakizungumza na XU Xzao Qing (kulia) na Wu Li (Watatu kulia)  baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya kampuni ya Elektroniki na Mawasili  ya HUAWEI iliyopo  katika jiji la Shenzhen wakiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 20, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na mkewe tunu wakizungumza na viongozi wa kampuni ya elektroni na mawasiliano ya HUAWEI baada ya kuwasili katika Ofisi  kuu za kampuni hiyo zilizopo katika jiji la Shenzhen wakiw katika ziara ya kikazi nchini Chini Oktoba 20, 2013.
 Waziri `mkuu, `mkuu, `mizengo Pinda akimkabidhi DVD zinazoonyesha  hifadhi za taifa na fursa za utalii nchini Tanzania, Kiongozi wa kampuni ya  Hong Kong- China  Traval Corporation, Bw/ Zhang Xnewu baada  ya mazungumzo yao yaliyolenga  kuvuta watalii kutoka China waitembelee Tanzania yaliyofanyika katika jiji la Shenzhen nchini China Oktoba  20,2013.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiangalia kikundi cha muziki wakati kikitumbuiza.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment