Mkuu
wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magese Mulongo akisisitiza jambo wakati akitoa
Hotuba yake ya Kufunga Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF,uliomalizika muda mfupi uliopita katika Ukumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akizungumza jambo wakati
wa kufunga Mkutano huo,uliokuwa ukifanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa AICC,Jijini Arusha.
Mtoa
Mada wa Mwisho katika Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF,Chris Mauki akiwasilisha mada yake kwenye
Mkutano huo uliomalizika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
AICC,jijini Arusha leo.
Mchangia
Mada ya mwisho siku ya leo,Dk. Kabeho Sollo akifafanua maswala mbali
mbali yahusuyo mada hiyo katika Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na
Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaendelea kufanyika kwenye ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha leo.
Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Dk. Aggrey
Mlimuka akitoa mwongozo wakati wa Mkutano wa 23 wa Mwaka wa Wanachama na
Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF uliokuwa ukifanyika kwenye ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Meneja Uratibu wa Kanda wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Mbaruku Magawa akitoa taarifa fupi kwa wanachama na wadau wa PPF.
MC wa Mkutano huo,Mzee Mavunde akiendelea na wajibu wake.
Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Dk. Aggrey
Mlimuka (Pili kushoto) akimkabidhi kadi ya Uanachama wa PPF,Mbunge wa Jimbo la Busega,Mh. Titus Kamani muda mfupi baada ya kujiunga na Mfuko huo.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa
PPF,William Erio.
Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Dk. Aggrey
Mlimuka (Pili kushoto) akimkabidhi kadi ya Uanachama wa PPF,MC Mzee Mavunde muda mfupi baada ya kujiunga na Mfuko huo.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio.
Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Dk. Aggrey
Mlimuka (Pili kushoto) akimkabidhi kadi ya Uanachama wa PPF,Mwanalibeneke Othman Michuzi muda mfupi baada ya kujiunga na Mfuko huo.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magese Mulongo akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano huo wakipokea vyeti kwa niaba ya Wadau wengine.
Meza kuu.
Wadau wakiuliza maswali.
Mh. Titus Kamani akichangia hoja.
Meneja Uhusiani na Masoko wa PPF,Lulu Mengele akiandika mambo mbali mbali yaliyokuwa yakiendelea mkutanoni hapo.
Wakurugenzi
wa PPF, Kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji,Assumpta Mallya na
Mkurugenzi Msimamizi wa Mambo ya Hatari,Uphoo Swai wakifatilia mada
mbali mbali katika mkutano huo.
Wadau mbali mbali wakiwa kwenye mkutano huo.
Wadada warembo wa PPF wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Wadau wa Dawati la Utawala wakiwajibika.
Wadau wa PPF.
Wajumbe
wa bodi na mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwa kwenye
picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wapya wengi wao wabunge, mara
baada ya kukabidhiwa kadi zao.
CHANZO: MICHUZI MATUKIO
0 comments:
Post a Comment