MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry
Silaa, akitoa risala ya kufungua kikao cha Baraza la Madiwani kilicho
kutana jana katika Ukumbi wa Anatoglo jijini Dar es Salaam Jana.
Pamoja na mambo Mengine Meya Silaa
amemtupia lawama Naibu Waziri wa Wizara ya Kazi na Ajira, Dk Makongoro
Mahanga kuwa ndio chanzo cha kusimamishwa kazi kwa aliyekuwa
Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Gabriel Fuime kwa kuandika barua ya
malalamiko dhidi yake na Waziri Mkuu kuuagiza uchunguzi kufanyika huku
mkurugenzi huyo akiondolewa kazini.
Silaa akiongelea suala hilo huku
akipigiwa makofi na madiwani alisema analaani vikali migogoro ya
kisiasa isiyo na tija kwa wananchi ambao ndio wapiga kura.
Diwani wa Kipawa Bonnah Kaluwa akipitia nyaraka mbalimbali zilizokuwa zinajadiliwa katika mkutano huo.
Baadhi ya madiwani wakiwa ndani ya kikao hicho.
Mbunge pekee kutoka Manipaa ya Ilala
ambaye amesifiwa kwa kuhudhuria vikao hivyo vya Baraza la Madiwani
Ilala, Mussa Zungu akiwa katika Baraza hilo jana
CHANZO: H@KI NGOWI
0 comments:
Post a Comment