Aliyekuwa
Waziri Mkuu Raila Odinga wakati alipokua akitoa hotuba ya maelezo ya
kitabu chake kipya cha cha Flames of Freedom Siku ya Jumanne Oct 14,
2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
nchini Marekani.
(Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
(Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
Kitabu
hicho kipya kilichapishwa baada ya uchaguzi mkuu uliopita, pia
alizungumzia kua si mara yake ya kwanza kuandika kitabu cha wasifu wake
kwani akiwa kizuizini alianza kuandika matukio aliyokuwa anayapitia
lakini baada ya kuachiliwa akanyimwa makaratasi alivyokua kizuwizini.
Raila
Odinga wakati alipokua akiulizwa maswali na majibu na baadhi ya
wanafunzi na wageni walikuwa wakati alipomaliza hotoba kuhusu Siasa za
Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla, siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani
ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
Bw Raila Odinga ameelezea kuwa kitabu chake kina mchakato wa kupigania
mfumo wa vyama vingi vya kisiasa nchini kwa ushirikiano na babake pamoja
na rais mstaafu Mwai Kibaki. Ananukuu mateso aliyopitia wakati
alipozuiliwa na rais mstaafu Daniel Moi kwa zaidi ya miaka mitano.
Wasifu huo pia unazumgumzia sababu zilizopelekea Bw Odinga kuungana na
chama cha KANU baada ya uchaguzi wa 1997, njama za kumng’oa rais mstaafu
Moi mamlakani kwa kutangaza 'Kibaki Tosha’ na jinsi alipoanzisha
kampuni nyingi ikiwemo KEBS.
Raila
Odinga alipokua akijibu maswali yalioulizwa na wageni walikwa pamoja na
wanafunzi wakati alipomaliza hotoba kuhusu Siasa za Kenya na Afrika
Mashariki kwa ujumla, siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi Johns
Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
Odinga asema Uislamu ni dini ya amani, wakati alipokua akijibu swali kuhusu Al Shabaab Johns Hopkins Universi Washington DC
Wageni
walikwa pamoja na wanafunzi wakimsikiliza Mhe. Raila Odinga wakati
akijibu maswali siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi Johns
Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
Mmoja
wa wageni walikwa akimuliza swali Mhe. Raila Odinga wakati wa kipindi
cha maswali na majibu siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi
Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
Mmoja
wa wageni walikwa kutoka nyumbani Kenya aliponunua kitabu chake cha
Flames of Freedom, wasifu wa kitabu wake kimelenga kuendeleza ndoto ya
Waafrika ambayo imeduwazwa na umasikini, ujinga, maradhi na uongozi
mbaya.
Cheif
wa swahilivilla Ebou Shatry akipata picha pamoja na kitabu cha Bwana
Raila Odinga wakati alipokisani kama utambulisha wake
Bwana
Raila Odinga akiweka saini kitabu cha Kakaa siku ya Jumanne Oct 14,
2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
Bwana Raila Odinga akiweka saini kitabu cha Cecil DJomoshfaya Otieno
siku ya Jumanne Oct 14, 2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi
uliopo Jijini Washington D.C
Moja
kati ya wahabarishaji wa kipindi cha The OneMic Show Cecil DJomoshfaya
Otieno akipata picha ya pamoja na Bwana Raila Odinga siku ya Jumanne Oct
14, 2013 ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini
Washington D.C
.
Sikiliza Audio ya Hutoba aliotoa ndani ya ukumbi Johns Hopkins Universi uliopo Jijini Washington D.C
0 comments:
Post a Comment