Mvua
kubwa iliyonyesha kwa dk 45 leo jijini DSM imesababisha uharibifu
mkubwa wa mali za watu maeneo ya Magomeni,Mwembechai,Kagera na Manzese.
zaidi ikichangiwa na ujenzi wa barabara usiyo na mifereji ya
maji,wananchi wamekuwa wakilaumu mamlaka husika kwamba hazifuatilii kwa
usahihi ujenzi wa barabara ya mradi wa mabasi yaendayo kasi.
Picha na HUDUGU NG'AMILO (mjengwablog DSM)




0 comments:
Post a Comment