FAMILIA YA SYKES INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE WAO ALLY KLEIST SYKES (PICHANI) KILICHOTOKEA JANA MEI 19, 2013 KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI NAIROBI, KENYA, ALIKOKUWA AMELAZWA.
MSIBA UKO NYUMBANI KWA MAREHEMU MBEZI BEACH JIJINI DAR ES SALAAM. MWILI WA MAREHEMU ULITARAJIWA KUWASILI JIJINI USIKU USIKU WA KUAMKIA LEO.
MAZISHI YAMEPANGWA KUFANYIKA LEO MEI 20, 2013 KATIKA MAKABURI YA KISUTU BAADA YA MWILI WA MAREHEMU KUSWALIWA KATIKA MSIKITI WA KIPATA WAKATI WA SWALAT ALAASIR.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
Inna-na lillahi wa inna ilayhi raji'un.
Hakika sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu, na kwake tutarejea.
Surely we belong to Allah, and to Him shall we return
NA H@KI NGOWI
0 comments:
Post a Comment