Mkuu wa wilaya ya makete Mh. Josephine Matiro akisoma taarifa ya utekelezaji wa shughuli za serikali wilayani hapo kwa kipindi cha Januari-Aprili 2013 katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Makete Mei 20,2013
Mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya makete Bw. Idd Nganya akijibu hoja katika kikao hicho
Afisa elimu msingi wilaya ya Makete Antony Mpiluka akitoa msisitizo kuhusu wanafunzi kupatiwa chakula shuleni
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya makete Francis Chaula akichangia jambo katika kikao hicho
Afisa maliasili na Mazingira wilaya ya Makete Bw. Uhuru Mwembe akijibu hoja za idara yake ambazo zimeulizwa na wajumbe
katibu wa CUF wilaya ya Makete Bw. Joma Mwakisitu akiuliza swali
Msaidizi wa askofu KKKT dayosisi ya kusini kati Mch. Philemon Kahuka akiuliza maswali hsa kuhusu maji makete mjini
Katibu wa CCM wilaya ya makete Bw. Miraji Mtaturu akizungumza kuhusu barabara na mfuko wa jamii CHF
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya makete Shaaban Mkakanze akichangia hoja kikaoni hapo
Mzee Masevela naye hakuwa nyuma kuchangia
Mwakilishi wa NMB Makete akizungumza
Mhandisi wa ujenzi wilaya Makete Eng. Samwel Ndoveni akijibu hoja za idara yake hasa usambazaji wa vifusi makete mjini ambapo amesema kazi itaanza kesho
Kaimu mganga mkuu wilaya ya makete Dk. Alexander akijibu hoja za idara ya afya
Afisa mtendajia kata ya Iwawa Festo Msigwa akishiriki kuchangia hoja
Washiriki wakifuatilia mambo.
Picha zote na Edwin Moshi.
0 comments:
Post a Comment