SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, April 5, 2013

Serikali Yatakiwa Kusitisha Zoezi La Uzimaji Analojia Katika Mikoa Ambayo Haijazimwa

CHANZO: ITV
Kamati ya bunge ya kudumu ya miundombinu imeitaka serikali kusitisha zoezi la uzimaji wa mitambo ya analojia katika mikoa ambayo haijazimwa na kuunda tume itakayotathimini changamoto zilizojitokeza katika mikoa ambayo imeshazimwa mitambo hiyo kabla ya kuendelea na zoezi hilo nchi nzima.

0 comments:

Post a Comment