SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, April 5, 2013

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Apokea Shilingi Milioni Kumi Kwa Ajili ya Rambirambi Ajali Ya Kuanguka Kwa Jengo la Ghorofa 16 jijini Dar es Salaam

 Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda jana amepokea shilingi milioni kumi kwa ajili ya rambirambi kutokana na ajali ya kuanguka kwa jengo la gorofa 16 jijini dar es salaam tarehe 29march 2013 na kusababisha maafa pichani ni Assistant President Chief Representative Tanzania kutoka kampuni ya China Henan International Cooperatin Group Co. Ltd Mr Guo Zhijian akimkabidhi waziri Mkuu hundi ya shilingi milioni kumi kama rambirambi ya kampuni hiyo makabidhiano hayo yamefanyika ofisni kwa waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam
 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na kiongozi wa kampuni hiyo pamoja na maafisa wengine mara baada ya kupokea msaada wa fedha hizo.
Picha na Chris Mfinanga

0 comments:

Post a Comment