SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, April 15, 2013

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Azindua Nyumba Za Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi Zanzibar

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee na Wananchi alipowasili Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja  jana, kuifungua Nyumba ya Walimu,iliyojengwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,ya nchini Sweden
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuifungua Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi  jana, iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,yenye Makao Makuu yake nchini Sweden
   Katibu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja, Maalim Rashid Makame Shamsi, akisoma risala ya wanajumuiya wakati wa sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu,Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
   Mwakilishi wa Jumuiya ya Bus 4 Afrika yenye Makao Makuu yake Nchini Sweden Bibi Hannah Mc Carrick,akitoa salam wakati wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi,iliyojengwa na Jumuiya hiyo na Ushirikiano wa Jumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja, iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi na Wanajumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,Wilaya ya Kusini Unguja, wakati wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi, iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika ya Sweden,
   Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Juma Shamuhuna,akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wananchi na Wanajumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,Wilaya ya Kusini Unguja, wakati wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi,
  Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu,Skuli ya Kusini Makunduchi iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,ya nchini Sweden,wakifuatilia kwa makini harakati za sherehe hiyo ilivyoendelea katika viwanja vya skuli hiyo jana.
Picha na Ramadhan Othman, IKULU-Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment