SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, April 12, 2013

Mshindi wa Tigo Smartcard Promosheni akabidhiwa Tiketi ya kwenda kushuhudia mechi kati ya Arsenal na Man U.


Mshindi wa Promosheni ya Tigo smartcard Bi.Herriet A. Makulukulu mkazi wa Mbezi Beach akipokea mfano wa tiketi ya kwenda kushuhudia pambano la mpira ligi kuu ya Uingereza EPL kati ya Arsenal Fc na Manchester United litakalofanyika mwishoni mwa mwezi huu kwenye uwanja wa Emirate, toka kwa Meneja Chapa ya Tigo Bw.William Mpinga. 

 Meneja wa huduma za burudani za Tigo, Bw. Husni Seif akimkabidhi zawadi ya Simu mshindi wa Promosheni ya Burudika na Tigo Bi.Neema Sayduke mkazi wa Ilala jijini Dar Es Salaam. 

 Meneja wa huduma za burudani za Tigo, Bw.Husni Seif akimkabidhi zawadi ya Simu mshindi wa Promosheni ya Burudika na Tigo Bw. Boniface Shimba mkazi wa Goba jijini Dar Es Salaam.
CREDIT TO DEWJI BLOG

0 comments:

Post a Comment