Baadhi ya Vikosi vya Jeshi la Wananchi la Tanzania(JWTZ)Vikipita kutoa heshima kwa Mnadhimu Mkuu Mstaafu wa JWTZ, Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo akisindikizwa Kwa kusukumwa na Maofisi Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)wakati wa sherehe za kumuaga
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo akikagua gwaride rasmi wakati wa sherehe za kumuaga
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akipeana mkono na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo (kushoto) wakati wa sherehe za kumuaga.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, (CDF), Jenerali Davis Mwamunyange, akimkabidhi cheti cha utumishi baada ya kustaafu, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, Abdulrahman Shimbo (kushoto), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mnadhimu Mkuu Mstaafu wa JWTZ, Luten Jenerali Mstaafu, Abdulrahman Shimbo
Baadhi ya maofisa wa JWTZ katika sherehe ya kumuaga Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo
Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo akipeana mkono na mama yake mzazi
Baadhi ya ndugu na jamaa wakimpongeza Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luten Jenerali, Abdulrahman
0 comments:
Post a Comment