Jeshi la polisi limesema halihusiki na kupotea au kutekwa nyara kwa kiongozi mkuu wa kikundi cha Muamsho Amir Farid hadi huku wajumbe wa baraza la wawakilishi wa CCM wakisusia kikao cha baraza la wawakilishi kutokana na fujo na kuwataka mkuu wa jeshi la polisi nchini na wa Zanzibar kujiuzulu.




0 comments:
Post a Comment