SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, October 30, 2012

Tatizo La Uhaba Wa Mafuta Jijini Dar es Salaam Linazidi Kuwa Kubwa..

mmmmmm

Tatizo la uhaba wa mafuta katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar Es Salaam linazidi kuwa kubwa huku baadhi ya magala ya kutolea Mafuta yakisitisha kutoa huduma hiyo kutokana na kuwa na shehena ndogo ambapo mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji Zimekiri hali kuendelea kuwa mbaya.

0 comments:

Post a Comment