SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, September 30, 2012

Mdau Sunday Shomari Alikacha Rasmi Kundi La Ukapera

Sunday Shomari akiwa ni mwenye Furaha baada ya Kuchukua jumla mchana wa jana
 Mdau Sunday Shomari akiwa na Mai waifu wake Elinita Mhando wakati wa Ndoa yao iliyofanyika jana katika kanisa la Mt. Emmaculata,Upanga jijini Dar es Salaam.
(Picha Na Habari na Ankal Michuzi-Matukio Blog)
 Maharusi Sunday Shomari na Mai Waifu wake Elinita Mhando wakivishana pete ikiwa ni ishara ya kufunga pingu za maisha mpaka Mungu atakapowatenganisha.
 Padri akiongoza ibada ya Ndoa ya Mdau Sunday Shomari na Mai Waifu wake,Elinita Mhando mchana wa jana katika kanisa la Mt. Emmaculata,Upanga jijini Dar es Salaam.
 Ibada ya ndoa ikifanywa.
 Maharusi na Kapu la Sadaka wakati wakienda kukabidhi kwa Padri.
 Maharusi na Wapambe wao wakifuatilia Ibada ya ndoa.
 Wapambee.
 Bw. Harusi Sunday Shomari akisoma neno la Mungu huku Mpambe wake Chacha Maginga akiwa pembeni yake.
 Bi. Harusi Elinita Mhando na tabasamu zito.
Maharusi na Nondozz zao.
 Ndugu,jamaa na Marafiki wakiofika kanisani hapo katika ibada ya Ndoa ya Mdau Sunday Shomari na Mai waifu wake,Elinita Mhando.
Mdau Baraka Munisi akiwa nje ya mkoko wake matata jijini Dar ambao ndio uliotumika kuwabeba maharusi.
 Maharusi katika picha ya pamoja.
 Wapambe.
 Full kupendezaaa
 Maharusi na Wapambe wao.
 Bi. Harusi na Matron wake.
 Bw. Harusi na Mpambe wake.
 Wamependezajeee...... 
 Pozzzz tofauti tofauti za Maharusi.
 Maharuzi na Wazazi.
Maharusi na Marafiki. 
 Taswirazz zikichukuliwa.
 Maharusi wakitoka kanisani.

0 comments:

Post a Comment