Mkazi wa Kijiji cha Mnamba kata ya Nampa mkoa wa Lindi, Rafael Mohamed (36) anayesumbuliwa na uvimbe wa pua tangu mwaka 1984 akisaidiwa na mtoto wake Shafi Abdalah mwenye umri wa miaka 18 kwenda kutafuta mahitaji ya kila siku ,mama huyo anaomba msaada wa matibabu kwani madaktari wa Hospitali ya mkoa wa Lindi wameshindwa kumfanyia upasuaji.
NANI HAPA WA KUMSAIDIA MWINGINE: Mwanafunzi wa shule ya msingi Nyagao ya wasioona na wanaoona, iliyopo Wilaya ya Lindi, Hussein Omari akimsikiliza Rafael Mohamed, anayesumbuliwa na ugonjwa wa uvimbe ambao umemfanya ashindwe kuona wakati walipokwenda shuleni hapo kwa ajili ya kupatiwa msaada wa vyakula mbalimbali vilivyotolewa msaada na wasamaria wema.
KWA HISANI YA \DEWJI BLOG
KWA HISANI YA \DEWJI BLOG
0 comments:
Post a Comment