SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, August 22, 2012

Mafunzo ya Olimpiki 2012- Filam Mpya


Kila juma, Urban Pulse na Freddy Macha wataendelea kuwaletea habari moto moto toka London zenye mahojiano, fikra na ucheshi kuhusiana na kwetu Afrika Mashariki. Ushirikiano huu wa wanahabari wachanga na wakongwe- umeshazaa filam mbili kuhusu Olimpiki. Ya tatu ndiyo hii inayotathmini mafunzo ya Olimpiki 2012 na nini kifanyike kuhusu 2014 (Jumuiya ya Madola, Glasgow) na 2016 (Olimpiki , Rio De Janeiro). Filam fupi ya dakika 32.

0 comments:

Post a Comment