SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, May 30, 2012

Wabunge Pamoja Na Viongozi Wa Tawi La Chadema Washington DC Watembelea Ubalozi Wa Tanzania Nchini Marekani

Baada ya kazi pevu ya uzinduzi wa tawi la Chadema jijini Washington Dc wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamtembelea rasmi Balozi wa Tanzania nchini Marekani.
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar akipata picha ya pamoja  na Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Msigwa ndani ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Wabunge wa Chadema  Mhe. Peter Msigwa wapili kushoto, Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu  Dogo Janja, (Watatu kulia), ofisa wa ubalozi  Mhe. Peter Msigwa, Kaimu Balozi Mhe Lilian Munanka pamoja na viongozi wa tawi la Chadema Washington Dc wakipata picha ya pamoja na balozi  Mhe.  Mwanaidi Sinare Maajar baada ya kumtembelea rasmi siku ya Jumanne Mei 29,2012 Washington Dc Nchini Marekani.
Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter  Msigwa akipata picha ya pamoja na waTanzania waishio nchini Marekani, ndani ya Ubalozi wa Tanzania Washington Dc.  (Picha na swahilivilla.blogspot.com)

0 comments:

Post a Comment