Prof Juma: Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Profesa Ibrahim Juma akioongoza kikao cha Majaji kupitia Ripoti ya mfumo wa Sheria za Haki za Madai jijini Dar es Salaam kilichofanyika hivi karibuni
Jaji wa Mahakama Kuu Dk. Faudh Twaib akiwasilisha maoni yake wakati wa kupitia ripoti ya mapitio ya mfumo wa sheria za Haki za Madia Tanzania
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Profesa Ibrahim Juma (kulia mbele) na Mtaalamu Mshauri wa kupitia ripoti ya mfumo wa sheria za Haki za Madia Dr. Mapunda wakiwa katika kikao hicho
Baadhi wa Majaji na Makamishna wa Tume wakiwa katika kikao hicho.
Washiriki wa kikao hicho
(Picha na Munir Shemweta)
(Picha na Munir Shemweta)
0 comments:
Post a Comment