Baadhi ya wachimbaji wadogo zaidi ya 1,000 waliovamia kijiji cha Kinyinya wilayani Kibondo mkoani Kigoma wakiendelea na kazi ya uchimbaji na utafutaji madini. Machimbo hayo mapya yaligunduliwa mwezi uliopita katika eneo ambalo lilitengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari na soko kijijini hapo.Picha na Fadhili Abdallah.
0 comments:
Post a Comment