Barabara ya kwenda Tabora maeneo ya lupa tingatinga chunya barabara hiyo ikiwa imefungwa kwa kuchoma matairi ya magari kuto ruhusu polisi kupita kwenda kuchukua mwili wa mwanafuzi aliyeuwawa kwa kutuhumiwa kuiba simu.
Mji mdogo wa chunya ukiwa hauna hata mtu mmoja anaeonekana maeneo waliopo polisi
Moja wa maaskari wa kutuliza fujo akiwa amejeruhiwa kwa kupigwa mawe na wananchi hao wa chunya.
Kijana huyu rasi ni moja wa vijana waliokuwa wakiwazuia polisi wasichukue mwili wa marehemu.
Mkuu wa polisi mkoa wa mbeya Advocate Nyombi akiongea na viongozi wa lupa tingatinga chunya jana(juzi).
Viongozi wa kijiji cha lupa tingatinga wakimsikiliza mkuu wa polisi mkoani mbeya jana(juzi).
KUPATA TUKIO ZIMA BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment