SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, February 9, 2012

UMEMUONA BINTI HUYU AMEPOTEA, ANATAFUTWA?

Binti yetu Zenna Ally Mapee mwenye umri wa miaka 22 amepotea nyumbani tangu tarehe 3/2/2012 aliaga anakwenda Mbagala na kisha kuelekea Mwananyamala kwa shangazi yake. Ni kawaida huwa anaenda na kurudi nyumbani. Alipiga simu akitujulisha kuwa atarudi usiku kwa kuwa ilikuwa usiku kama saa mbili hivi tulimwambia alale kwa Shangazi ili arudi kesho mapema. 
Tulikubaliana hivyo siku ya Ijumaa tarehe 3/2/2012 asubuhi kama saa tano alikuwa bado hajarudi tukapiga simu kwa Shangazi ndipo aliposhangaa kwani hata jana yake hakuwa huko. Tumejaribu kumtafuta kwa ndugu na jamaa bila mafanikio na kutoa taarifa vituo vya police bila mafanikio. 
 Tunaomba mtu yoyote ambaye anataarifa za Zena awasiliane na sisi kwa simu tutazitoa hapo chini au hata kwa kupitia blog hii. Zena kama unaona tangazo hili na kwenye vyombo vya habari popote ulipo tunakuomba urudi nyumbani Familia zote za Mzee Iddi Sungura na Familia ya Mzee Mapee wote tunakupenda, tunakujali na tunakuhitaji sana.
Namba zetu za simu kwa taarifa;
0716 696858- Shangazi Mama Hadija
0713 400363 – Kaka Madaraka
0778 612613- Mama Mdogo Masha Sungura
0715 080926- Mama Mdogo Utesi Sungura
0656 369316- Mama Mdogo Shindo Sungura

0 comments:

Post a Comment