SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, February 9, 2012

Taswira Halisi Kutoka Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili Leo(Jana) Hii Kufuatia Mgomo Wa Madaktari Unaoendelea Hivi Sasa

 Ndugu na Jamaa wakiwa kwenye harakati za kumwamisha Mgonjwa wao kutoka hospitali ya Taifa ya muhimbili kufwatia mgomo Mkubwa wa Madaktari
 Chumba Cha Wagonjwa kikiwa kitupu
 Muonekano wa Wodi Mbalimbali
 Chumba cha Wagonjwa kikiwa kitupu
 Vitanda vitupu vikiwa Havina wagonjwa kwenye hospitali ya taifa ya muhimbili  Kufwatia Mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini hivi sasa
 Viti vya kubebea Wagonjwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili vikiwa vitupu kabisa
 Koridoro za hospitali ya Taifa ya Muhimbili Zikiwa Tupu Leo hii kufwatia Mgomo wa Madaktari Nchini
Sehemu ya Mapokezi ya Hospitali  ya taifa ya muhimbili ikiwa tupu
Bi Annanilea Nkya(Kulia)na kijo Bisimba wa pili Kushoto wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbli jijini Dar es Salaam Kujionea hali  halisi na athari za Mgomo wa Madakatari unaondelea Nchini.Picha na Habari Legal and Human Rights Centre

0 comments:

Post a Comment