Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed.
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed, na wenzake watatu akiwemo Shoka Hamis wamefukuzwa katika uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF). Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kuwa kwenye msuguano
mkubwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad kuhusu uongozi. Maamuzi hayo yamefanyika katika kikao cha dharura kilichofanyika mjini Zanzibar leo.
BOFYA
BOFYA
0 comments:
Post a Comment