
Mbunge wa Mbeya Mjini-Chadema Mheshimiwa Joseph Mbilinyi aka Mr II akiwa jukwaani na Mbunge wa Ubungo-Chadema , John Mnyika. Wabunge takribani wanane walisindikiza uzinduzi wake huo ulioenda sambamba na uzinduzi wa kitabu kinachoeleza historia yake katika maendelea ya muziki wa Rap Bongo kwenye Tamasha lake lilofunika juzi Jijini Dar es Salaam Lilokwenda Kwa Jina laVinega
Mheshimiwa Mbunge Joseph akiwa anachana mistari jukwaani usiku wa kuamkia juzi, nyomi ilikuwa ya kutisha.
1 comments:
ITS better to register this blogs to jigambeads.com for more advert and tanzaniakwetu.com for further popularity.
Post a Comment