SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, November 6, 2011

RAIS KIKWETE ATEMBELEA KITENGO CHA TIBA YA FIGO MUHIMBILI JIJINI DAR

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akimsalimu na kumpa pole mtoto Ali Abdul kutoka Rufiji, Mkoa wa Pwani, aliyefanyiwa upasuaji wa kuzibua mshipa wa damu ulioziba aliofanyiwa na madaktari bingwa wa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam jana jioni.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na madaktari bingwa kutoka India walio nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam jana jioni.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na madaktari bingwa kutoka India waliopo nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam jana jioni.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na madaktari bingwa kutoka India waliopo nchini kwa ziara ya kikazi ya wiki moja katika kitengo cha tiba ya figo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam jana jioni.
Picha zote na Ikulu.

0 comments:

Post a Comment