SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, November 10, 2011

Price Charles na Mkewe Camilla Walipotembelea Mji Mkongwe Zanzibar

GARI lilomchukwa Mwana wa Mfalme wa Uingereza likiwasili katika mitaa ya Mji Mkongwe.
MWANA wa Mfalme wa Uingereza Prince Charles akisalimiana na Vijana wa Scout.
MWANA wa Mfalme wa Uingereza Prince Charles,akisalimiana na Kiongozi wa Scout katika mitaa yac Mji Mkongwe.
MWANA wa Mfalme wa Uingereza akitembelea maduka ya bidhaa za Kitalii za Vinyongo katika mitaa ya Shangani.
MTEMBEZA Watalii akitowa maelezo kwa Mwana wa Mfalme wa Uingereza Prince Charles, alipotembelea Mji Mkongwe wakati wa ziara yake Zanzibar.
MKE wa Prince Charles Camilla akiwasalimu Wananchi katika Mji Mkongwe wa Zanzibar alipokuwa na ziara ya siku moja Zanzibar.
WANANCHI wakimlaki Mwana wa Mfalme wa Uingereza Prince Charles alipotembelea Mji Mkongwe wa Zanzibar.
MTEMBEZA Watalii akitoa maelezo kwa Mwana wa Mfalme wa Uingereza Prince Charles, alipotembelea Mji Mkongwe wakati wa ziara yake Zanzibar.
Picha na Othman Mapara-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment