SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, November 1, 2011

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria,Katiba na Utawala Yajadili Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria,Katiba na Utawala Mhe. Tundu Lisu akichangia leo wakati kamati hiyo ilipokutana Dar es Salaam kujadili Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011. 
Mhe. Ole Konnay, Mjumbe wa Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala akitoa ushauri wake wakati wa majadala.
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria, Sheria na Utawala Mhe. Pindi Chana 
Mjumbe wa Kamati ya Sheria, Katiba Utawala Mhe. Andrew Chenge akitoa angalizo na ushauri wa kitaalamu wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011
Wajumbe wa Kamati
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria, Katiba na Utawala ikiwa imekaa leo katika Ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam.
Picha Zote na Prosper Minja-Bunge

0 comments:

Post a Comment