Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro jijini Dar es salaam juzi asubuhi.
Picha na Freddy Maro-IKULU
0 comments:
Post a Comment