Baadhi ya wanajumuia wanaoishi nchini Australia wakimsikiliza. Rais Jakaya Kikwete hayupo pichani alipokutana nao Okt.26.2011 mjini Perth Australia. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akibadilisha mawazo na mwanajumuia wa Australia Dr.Joseph Masika wakati Rais Jakaya Kikwete alipokutana na wanajumuia wanaoishi Australia 0ktoba 26, 2011 na kuzungumza nao mambo mbalimbali ya maendeleo ya nchi yetu.
Baadhi ya wanajumuia wanaoishi nchini Australia wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete hayupo pichani alipokutana nao Okt.26.2011 mjini Perth Australia.
Picha ya pamoja ya wanajumuia wa kike wanaoishi Australia pamoja na Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete baada ya kuamlizika mkutano wa Rais Kikwete na Watanzania wanaoishi Australia, jana.
Mama Salma Kikwete akisalimiana na mmoja wa wanajumuia.
Picha Zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO




0 comments:
Post a Comment