Siku kama ya leo alizaliwa Mwanadada anaitwa JESTINA GEORGE), wa LONDON, UNITED KINGDOM.
Blogu hii inaungana na Familia yake, Ndugu, Jamaa na Marafiki wote katika kukutakia siku njema iliyo na Furaha, Amani na Upendo, na pia Mafanikio katika maisha yako.
Mwenyezi Mungu akujaalie Afya Njema,Maisha Marefu, Mafanikio, Busara na Hekima katika siku zote za maisha yako.
HAPPY BIRTHDAY JESTINA GEORGE!!

1 comments:
Asante sana Ally. God bless. JESTINA
Post a Comment