SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, October 17, 2011

MCHINA ALIYEUAWA NA MAJAMBAZI ACHOMWA MOTO

 
Marehemu enzi za uhai wake.
 
Askari wa kikosi cha usalama barabarani akiongoza msafara kwenda eneo la kuchomea maiti.
Mwanamke wa Kichina aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi Jumanne iliyopita sehemu ya Kurasini jijini Dar es Salaam  Han Bing  leo mwili wake umechomwa moto kwenye eneo maalum la shughuli hiyo liitwalo Shree Hindu Mandal, lililoko Kijitonyama, jijini Dar es Salaam ikiwa ni kutimiza mila na desturi za jamii yake.
Mwili ukishushwa kwenye gari baada ya kufika sehemu ya kuchomea.

Ndugu na jamaa wa karibu na marehemu wakilia kwa uchungu.

Waziri wa Nishati na Madini, William Ngereja, akisoma risala kwa waombolezaji.

Mwili ukiwa tayari kwa ajili ya kuchomwa.
Waziri Ngereja (kushoto) akitoa heshima za mwisho kwa Kichina sambamba na Wachina wengine mbele ya sanduku lenye mwili wa marehemu.


Akiwapa pole wafiwa.

Vilio vikiendelea kila kona.

Waombolezaji wakivitupia kwenye moto vitambaa vyeusi walivyovaa kwa ajili ya msiba.
Mwili wa marehemu ukichomwa moto.

Waombolezaji wakishuhudia mwili wa marehemu unavyoteketea kwa moto.
PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS,  / GPL

0 comments:

Post a Comment