Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na
Meya wa Jiji la Zanzibar, Khatib Abrahaman, mara baada ya kuwasili
Zanzibar akitokea India ambako alikwenda kwa ziara ya kikazi na
kuchunguzwa afya yake.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa
Kwanza wa Rais, Fatma Alhabib Ferej.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza
wa Rais Zanzibar
0 comments:
Post a Comment