SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, October 21, 2011

JK NA MUSEVENI WAONGOZA MIAKA 50 YA UDSM

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za kilele cha kuadhimisha miaka hamsini 50 ya kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam zilizofanyika katika ukumbi wa Nkurumah jijini Dar es Salaam jana mchana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakiingia katika ukumbi wa Nkurumah kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 tangua kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Balozi Fulgence Kazaura na kulia ni Makamu Mkuu wa chuo Profesa Rwekaza Mukandala.

0 comments:

Post a Comment