SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, October 7, 2011

USHAWAHI ONA GHOROFA LA MATOFALI MABICHI BADO!!

Jengo la ghorofa la matofali mabichi kama lilivyonaswa na mpigapicha wetu katika kijiji cha Msafiri kilichopo Bungu wilayani Rufiji jana. Ni hatari, lakini salama. 
Picha kwa hisani ya Majira.

0 comments:

Post a Comment