SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, September 18, 2011

WAKUU WAPYA WA MIKOA WAAPISHWA


Rais Jakaya Kikwete, (kulia) akiweka saini kiapo cha Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza mara baada ya kumuapisha Ikulu, Dar es Salaam.Wa pili kulia, Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo akishuhudia.Picha na Yusuf Badi

0 comments:

Post a Comment