SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, September 14, 2011

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA MILIONI 20 MAAFA ZANZIBAR

Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Alli Iddi akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Shillingi Millioni 20, kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii-NMB Shy-Rose Bhanji ikiwa ni msaada wa benki hiyo kwa wahanga kufuatia ajali ya meli huko Zanzibar. Kushoto ni Meneja wa NMB tawi la Zanzibar.Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Alli Iddi akiangalia mfano wa hundi yenye thamani ya Shillingi Millioni 20, aliyokabidhiwa kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii-NMB Shy-Rose Bhanji ikiwa ni msaada wa benki hiyo kwa wahanga kufuatia ajali ya meli huko Zanzibar. Kushoto ni Meneja wa NMB tawi la Zanzibar
Maafisa wa NMB wakiteta jambo na Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi baada ya makabidhiano
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano benki ya NMB,Shy-Rose Bhanji akitia saini kitabu cha maombolezo

0 comments:

Post a Comment