Katibu
wa Jumuiya ya Kuhufadhi Kuran Tanzania, (TAHFIDH TRUST), Othman
Kaporo, akizungumza na waandishi wa habari jana mchana jijini Dar es
Salaam, kuhusu mashindano ya kuhifadhi Kuran yanayotarajiwa kufanyika
kuanzia Jumapili ya wiki hii jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo
yatashirikisha nchi mbali mbali za Kiafrika.
Baadhi ya washiriki a mashindano hayo kutoka nchi mbali mbali za Afrika.
(Picha na Victor Makinda)
(Picha na Victor Makinda)
0 comments:
Post a Comment