SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, June 9, 2011

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AKUTANA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA BAN KI MOON 
NA KUUNGURUMA JIJINI NEW YORK KWENYE MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU UGONJWA WA UKIMWI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ugonjwa wa Ukimwi, unaoendelea jijini New York.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Ban Ki Moon, wakati alipokutana naye kwa mazungumzo ofisini kwake jijini New York, jana Juni 8, 2011 baada ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ugonjwa wa Ukimwi, unaoendelea jijini hapa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal,( wa tatu kushoto) akisaini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Ban Ki Moon(wa tatu kulia)kwa ajili ya mazungumzo jijini New York,jana Juni 8, 2011.
Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais

0 comments:

Post a Comment