SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, May 4, 2011

VODACOM YAZINDUA HUDUMA YA M-PESA LOLIONDO KWA ‘BABU’

 Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Elias Wawa akikata utepe kuzindua huduma ya M pesa inayotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, Samunge Wilaya Ngorongoro Mkoa wa Arusha.
 Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Elias Wawa akipokea simu ya mkononi inayotumia mwanga wa jua toka  kwa msimamizi wa masoko wa Vodacom Tanzania kanda ya kaskazini jana, mara baada ya kuzindua huduma ya M-pesa Samunge wilayani Ngorongoro mkoani Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Elias Wawa (kushoto) akishuhudia wakati  Mchungaji Ambilikile Mwasapila (katikati) akipokea simu ya mkononi yenye kutumia nguvu ya jua ikiwa na muda wa maongezi wa sh 50,000  toka kwa Msimamizi wa wakala wa kampuni ya vodacom kanda ya kaskazini, Michael Kasubi na msimamizi wa masoko wa vodacom kanda ya kaskazini, Riziki Mwalupindi, jana baada ya kampuni hiyo kuzindua huduma ya M pesa Samunge Wilaya ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha.
Habari zaidi:

0 comments:

Post a Comment