SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, May 14, 2011

THE MAKING OF A NEW VIDEO MASHALAAH BY CHIDI BENZ FT. MZEE YUSUPH!!

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Chidi Benz akiwekwa sawa tayari kwa ajili ya kushoot Video yake mpya inayokwenda kwa jina la MASHALAAH aliyomshirikisha mwimbaji wa miondoko ya Taarabu Mzee Yusuph(hayupo pichani). Video hiyo imefanywa na kampuni ya SHOWBIZZ DEFINED MEDIA CO. LTD. Chini Creative Director Eryne Epidu.

 Jamani si nimetoka simple Bling au...........??
Chidi Benz akikung’uta Gitaa.
Chidi Benz akiwa na Band yake.
Msanii D-KNBO akipiga Drums huku Mbunifu wa Mavazi Ally Rehmtullah akipiga Gitaa.
Chidi Benz ON ACTION.
Tarsis Masela naye hakubaki nyuma katika kung’uta solo.
Creative Director wa Kampuni ya SHOW BIZ DEFINED Eryne akiwa kazini.
Ally Rehmtullah aking’uta Gitaa.
Manjonjo ya Eryne  Epidu katika upigaji picha wa Video mpya ya Chidi Benz.
Chidi Benzi akipreview kazi yake.
Chidi Benzi (katikati) kwenye picha ya pamoja na marafiki zake walioshiriki kwenye Video yake mpya. Kulia ni Abby Kirahi na Kushoto ni Ally Rehmtullah.
Na Mo Blog.

0 comments:

Post a Comment