Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisoma hotuba yake wakati
wa sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya kuzaliwa Chama cha Wauguzi
Tanzania (TANNA), zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es
Salam leo Mei 20.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimkabidhi zawadi, Paul
King’ara Muuguzi kutoka mkoani Mwanza wakati wa maadhimisho ya Sherehe
za ya miaka 40 ya kuzaliwa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA),
zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salam leo Mei 20.
Catherine Magole, akikabidhiwa zawadi.
Wauguzi
wakipita na mabango yenye ujumbe mbalimbali mbele ya mgeni rasmi wakati
wa maadhimisho ya miaka 40 ya kuzaliwa Chama cha Wauguzi Tanzania
(TANNA), zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salam leo
Mei 20.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal,
akisalimiana na Muuguzi mstaafu Jito Ramu, aliyekuwa mmoja kati ya
wauguzi waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya kuzaliwa
Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), zilizofanyika kwenye Viwanja vya
Mnazi Mmoja Dar es Salam leo Mei 20. Dkt Bilal alikuwa mgeni rasmi
katika sherehe hizo.
Wimbo wa Taifa
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Wenyeviti wa Mkoa na Wauguzi wakuu wa
Hospitali za Mikoa.
Wauguzi
waliohudhuria sherehe hizo wakila kiapo mbele ya mgeni rasmi Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakati wa sherehe hizo.
Baadhi
ya wauguzi wakiserebuka kushangilia sherehehe hiyo wakati msanii wa
muziki Mrisho Mpto, walipokuwa akitoa burudani kwenye sherehe hizo.
(
Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu wa Rais).
0 comments:
Post a Comment