Pichani Kaimu Alhaji Kassim Mtawa akimkabidhi zawadi ya mafuta ya kupikia,mchele na mbuzi kwa Sista Mary Joseph wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Kijiji cha Furaha Mbweni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteleo ametoa zawadi za Sikukuu ya Pasaka kwa vikundi mbalimbali vya watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu.
Halfa hiyo ya kukabidhi zawadi hizo kwa niaba ya Mheshimiwa Rais ilifanyika ikulu jijini Dare s Salaam leo asubuhi.Wengine katika picha ni Sista Catherine Swai na Sister Ann Fridah
(picha na Freddy Maro).
0 comments:
Post a Comment