Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Dianne Corner,Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Dianne Corner,Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akimsindikiza Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Dianne Corner, Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya mazungumzo yao.
(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)
0 comments:
Post a Comment