SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, March 23, 2011

MWANAMITINDO HAPPNESS MILLEN MAGESE ACHANGIA WAFIWA WA AJALI YA WANAMUZIKI WA 5 STARS MORDEN TAARABU.

Happness Magese
Mwanamitindo Happness Magese ambae anafanya kazi zake nchini Marekani siku ya jana kupitia leo tena ya clouds fm alitoa mkono wake wa rambirambi kiasi cha pesa Tsh 1,000,000.Happness ambae alishawahi kuwa miss Tanzania mwaka 2001 yupo hapa nchini kwa ajili ya mapumziko alikuwa akisikiliza leo tena na kufatilia matukio yote ya msiba huo aliguswa sana vifo vya wanamuziki hao 13 vilivyotokea juzi usiku hivyo kutoa mkono huo wa pole kwa familia za marehemu.
chanzo: http://hot255.com/cloudsfm/

0 comments:

Post a Comment