ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A LOWEST COST AND ALSO SEND TO US NEWS, EVENTS FOR MORE INFORMATION CONTACT US TELEPHONE: +919160901191 E-mail: ally.shaaban@yahoo.com | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU NA PIA TUTUMIE HABARI, MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +919160901191 Barua Pepe: ally.shaaban@yahoo.com | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI HAPA

Friday, April 30, 2010

The 3rd EAC Conference on Investment in Kampala

The 3rd EAC Conference on Investment in Kampala
President Jakaya mrisho Kikwete delivers his speech during the closing session of the 3rd EAC Conference on Investment held in Kamapal
The Chairman of the East African Community Heads of State Summit President Jakaya Mrisho Kikwete, the host President Yoweri Kaguta Museveni of Uganda and Kenya's Prime Minister Raila Odinga hold an informal discussion shortly before the conclusion of the 3rd East African Conference on Investment held at Munyonyo Speke Resort in Kampala this afternoon.
The Secretary General for the East African Community ambassador Juma Mwapachu consults with the Chairman of the EAC Heads of State Summit President Jakaya Mrisho Kikwete during the closing sesssion for the 3rd EAC conference on investment held in Kampala this afternoon.Others from left President Museveni of Uganda,Kenya's Prime minister Raila Odinga and Rwanda's Prime Minister Bernard Makuza a cross section some participants to the 3rd EAC Conference on investment held at the Munyonyo Resort in Kampala. Some East African Heads of State and representatives of Heads of State who participated in the 3rd East African Community Conference on Investment held at Kampala Uganda pose for a group photograph with some members of their delegation.From left Rwanda's Prime Minister Bernard Makuza,Uganda's President Yoweri Kaguta Museveni,President Jakaya Mrisho Kikwete, Burundi's Vice President Dr.Yves Sahinguvu and Kenya's Prime Minister Raila Odinga.

KAPUYA ATANGAZA KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA KWA SEKTA BINAFSI!!

 Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Prof. Juma Kapuya(kulia) akitangaza viwango vipya vya mishahara kwa kima cha chini kwa wafanyakazi wa sekta binafsi leo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.Viwango hivyo vya kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi vinazigusa sekta za Afya,Huduma za Kilimo, Viwanda na Biashara, Mawasiliano, Sekta ya Madini, Bandari na sekta ya Uvuvi, Wafanyakazi wa majumbani,sekta ya ulinzi Binafsi na Hoteli. (Picha na Aron Msigwa wa Maelezo) Waziri Kapuya amevitaja baadhi ya vima vya chini vya mishahara hiyo kwa sekta mbalimbali binafsi, ambapo amesema wafanyakazi wa Sekta ya kilimo kima chao cha mshahari kinakuwa shilingi 70.000, Sekta ya Viwanda 80.000, sekta ya Mawasiliano 350.000 upande wa wafanyakazi wa ndege, wafanyakazi wa mashirika ya Crealing Foward 230.000, Kampuni za simu 300.000, Sekta ya madini 350.000, Sekta ya uvuvi 165.000 wafanyakazi wa majumbani 90.000 walioajiriwa kwa mabalozi wanaofanya kazi kwenye makampuni binafsi ya usafi maofisini 80.000 na majumbani, kwa habari zaidi fuatilia vyomba mbalimbali vya habari.

Ugonjwa wa Saratani Waua Kina Mama Wengi Duniani.




Waziri Sofia Simba katikati akicheza ngoma ya asili.
.
Imeelezwa kuwa, Mwanamke mmoja hufa kwa ugonjwa wa Saratani kila baada ya sekunde moja Duniani kote.hususani walio na tatizo la Saratani ya Matiti. Hayo yalisema jana na Waziri wa Maliasili na Utalii,Shamsa Mwangunga katika matembezi ya Hisani ya kuchangia mfuko wa Saratani ya Matiti Tanzania ,iliyofanyika katika viwanja vya taasisi ya hospitali ya magonjwa ya kansa Ocean Road .
.
Katika hotuba yake hiyo, Shamsa ambaye alimwakilisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambapo Mabalozi mbalimbali waliwakilisha katika matembezi hayo yaliyowakilisha pamoja na vikundi mbalimbali vya kijamii na wanafunzi waliotembea kwa mwendo wa kilometa 6 yakiongozwa na Mwangunga.

Katika Hotuba yake hiyo, Mwangunga aliitaka jamii kufunguka macho na kujitokeza kwa wingi kuangali afya zao na kutambua dalili za ugojwa huo mapema.

Katika matembezi hayo, Waziri Mkuu aliweza kuchangia shilingi Milioni tano huku kwa upande wake, Mwangunga alichangia mfuko huo kupipitia taasisi na idara ya wizara yake shilingi milioni nne.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chipukizi Wilya ya Kinondoni na Mwanaharakati wa kutetea haki za watoto nchini, Nimka Lameck (10) ambaye alikuwa maalum kutoa ujumbe kwa wananchi kuwa ugonjwa ni hatari hivyo kila mtoto anahaki ya kutoa ujumbe kwa jamii.

Naye Mkurugenzi na Mwanzilishi iwa Mfuko Asasi hiyo, Angela Kuzilwa aliwashukuru wadau mbalimbali walifanikisha katika taasisi hiyo pamoja na kutumikia Akina mam karibuni nchi nzima huku akitoa wito kwa wadau kujitokeza kuisaidia taasisi hiyo kwa michango ya hali na mali .
.
Taasisi hiyo ambayo makao yake makuu yapo jijini Dar es Salaam , Mwananyamala, inaendesha shughuli za ushahuri kwa waakina mama ilikujitambua na kushahuriwa kupima mapema ilikuepuka kupata matatizo makubwa huku matembezi hayo kwa mwaka huu yakifanyika kwa mara ya pili baada ya yale ya mwaka juzi.

Kwa upande wake Dkt Twalib Ngoma wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road , aalitoa wito kwa akina mama kujitokeza kwa wingi kuchunguzwa afya zao ilikujijua mapema kama wameambuzaikwa au la, “ Tunawaomba akimama kujitokeza kwa wingi kupima afya juu ya ugonjwa huu mapema ilikuondoa ukubwa wa tatizo” alisema Dkt Ngoma. Huku mlezi wa taasisi hiyo, mke wa rais wa awamu ya tatu, Anna Mkapa alitoa wito kwa taasisi mbalimbali kujitokeza na kuichangia ilikupunguza kwa asilimia kubwa ya ugonjwa huo ambao unawapata akina mama walio na umri wa miaka 40 na kuendelea pamnoja na idadi ndogo ya wanaume

Good news from the American people

Chief Executive Officer of the U.S.-funded Millennium Challenge Account – Tanzania, Mr. Bernard Mchomvu, and representatives from Aarsleef/BAM signed a contract worth more than US $97.1 million for the upgrading of the km 96.5 Laela – Sumbawanga road on April 29, 2010 in Dar es Salaam.
This road project is one of six different road segments that will be rehabilitated and upgraded under the more than $698.1 million Millennium Challenge Corporation Compact funded by the American people.
U.S. Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt (L) and Hon. Haroun Ali Suleiman, Zanzibar's Minister of Education and vocational training (R) cutting the ribbon to celebrate the renovation of the historic Kizimkazi mosque in Zanzibar early this week.

The Kizimkazi Mosque, is one of the oldest continuously used Islamic places of worship in Africa. However it was in danger of severe damage due to deterioration.
According to Hamad H. Omar, Director of Zanzibar's Department of Archives, Museums and Antiquities Division in Zanzibar, the Antiquities Department requested a grant of $21,500 through the U.S. Ambassador's Fund for Cultural Preservation to restore the historic 12th century mosque in partnership with the American people, so that the valuable structure might last for hundreds more years. (Photos courtesy of the American Embassy.)
 

Stanbic introduces Islamic Banking


Stanbic Bank Managing Director Bashir Awale (C ) addressing a press conference about the launching of Stanbic Islamic Banking in Dar es Salaam yesterday. Looking on are banks Director Personal Business Banking, Douglas Kamwando (L ) and Stanbic Head of Marketing and Corporate Affairs, Abdallah Singano.
Stanbic Bank Managing Director Bashir Awale (C ) after addressing a press conference on the launch of Stanbic Islamic Banking. Left is the bank's Director Personal Business Banking, Douglas Kamwando and Stanbic Head of Marketing and Corporate Affairs, Abdallah Singano

Bongo tambarare, hasa wakati wa mvua...

ngoma imedata katikati ya barabara sehemu za mikocheni TMJ jijini dar
kila juhudi za kuiwasha inashindikana

ah... isiwe taabu.
haya ndo mambo mvua inaponyesha jijini dar ambako sio tu mitaro ya maji haitoshi, bali pia aidha imeziba kwa kutosafishwa mara kwa mara ama kuzibwa na ujenzi holela. hapo hatujazungumzia haja ya kuboresha miundombinu kwa kadri ya jiji linavyopanuka..

Rais Kikwete akiwasili Kampala kwa ajili ya mkutano wa Kitega Uchumi Africa Mashariki

 Makamu wa Raisi wa Uganda Prof.Gilbert Bukenya akimkaribisha President Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa Entebbe kwa ajili ya mkutano wa 3 wa kitega uchumi wa Afrika Mashariki.

Thursday, April 29, 2010

Mvua zinazoendelea kunyesha DAR leo

 Maeneo ya Uhuru Rd maji yamejaa kote, kiasi cha kufanya watu wanaotembea kwa miguu na wanaoendesha vyombo vya usafiri 
kupita kwa tabu sana.

TAMKO LA SERIKALI JUU YA MGOMO WA WAHADHIRI KATIKA BAADHI YA VYUO NCHINI

KATIBU MKUU OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI. YA UTUMISHI WA UMMA, MH. GEORGE YAMBESI AKITOA TAMKO LA SERIKALI JUU YA MGOMO WA WAHADHIRI WA BAADHI YA VYUO VIKUU NCHINI USIKU WA KUAMKIA LEO OFISINI KWAKE JIJINI DAR. PAMOJA NAYE NI MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI BW. CLEMENT MSHANA.

Semina ya mwisho kwa washiriki wa Kili Music Award 20

Mkurugenzi wa kampuni ya One Plus Commonication ambayo pia ni moja ya waratibu wa tuzo za Kili Music Awards 2010,Fina Mango akifafanua jambo na pia kumkaribisha muwakilishi kutoka baraza la sanaa la Taifa,kufafanua baadhi ya mambo kwenye semina ya wasanii waliochaguliwa kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo,ambazo safari hii zimekuwa na muonekano mpya na wenye msisimko mkubwa kwa wanamuziki wenyewe na hata wapenzi/washabiki wa muziki hapa nchini.

Yaliyojiri Bunge la Ukraine

JK ahani msiba wa watoto waliopata ajali msoga

JK akitoka katika nyumba ya familia ya Marehemu Evaristi Semeni(11) mmoja kati ya watoto watatu walifariki kwa ajali ya kugongwa na lori katika kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo,juzi jioni. JK alizitembelea familia za marehemu na kuwafariji. Semeni pamoja na wenzake Ezekiel George Setumbi(13) mwanafunzi katika shule ya msingi Mboga wilayani Bagamoyo na Omari Mrisho aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Msoga walifariki dunia baada ya kugongwa jana saa moja na nusu jioni na lori aina ya Isuzu Tiper lenye usajili wa namba SM 2514 mali ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo lililokuwa likitoka Chalinze Kuelekea Msata. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Bwana Mohamed Mbwana amesema kuwa wakati wa ajali hiyo mtoto Ezekiel Setumbi alifariki papo hapo ambapo wenzake Evarist Semeni(11) na Omari Mrisho(13) walifariki wakati wakipata matibabu katika kituo cha afya Chalinze. Kwa Mujibu wa Kamanda Mbwana Dereva wa lori hilo Lukino Kayela(40) mkazi wa Mji Mwema Bagamoyo amekamatwa na alitarajia kufikishwa mahakamani leo.Wanafunzi hao walifariki kutokana na majeraha makubwa waliyoyapata kichwani.

Mzigo mpya wa Chege ft Lady Jay Dee-Mambo Bado

Tuesday, April 27, 2010

Mjadala kuhusu ndugu zetu maalbino:


Kikosi cha timu ya soka cha Albino United ambao wameamua kujiunga pamoja na kuunda timu itayowasaidia kuondoa unyanyapaa pamoja na kuweka afya zao kuwa safi. Hapa ni uwanja wao wa mazoezi jirani na hospitali ya Ocean Road jijini Dar
Mheshimiwa Michuzi na Wadau wengine;Nashukuru kwa fursa hii ya kutoa maoni yangu kuhusiana na jambo muhimu sana linalotuhusu bina-adamu wote, kutetea na luokoa wanaokandamizwa na kuonewa. Kunradhi kwa upungufu wa msamiati wangu, nitajaribu kuwa wazi na kujaribu kuhakikisha ujumbe unafika kwa wasomaji wote na haswa walengwa.Watanzania wengi, kama si wote tunafahamu unyama unaoendelea dhidi ya Maalbino nchini tanzania, na baadhi ya nchi jirani yetu. Cha kusikitisha ni kuwa serikali haijafanikiwa kusimamisha unyama huo, nanukuu kutoka jarida la The globe and the mail,"The grisly trade in albino body parts is supported by powerful forces – even politicians and police officers, according to experts – and prosecutions have been slow. At least five policemen were among the dozens arrested after the attacks, but only two of the 56 homicides have led to criminal convictions. The affluent buyers who pay for the body parts have never been identified in court or police records".Sitaki kupoteza muda, suggestion yangu kwa maalbino wanaoishi Tanzania...na wote wanaowafahamu. U.S.A cares for human rights. Nimeongea na baadhi ya wanasheria na wengi wanasema kesi ya ndugu zetu hao maalbino, inaweza ku-qualify waweze kuhamia U.S.A kama wakimbizi. Nauhakika watanzania wenzangu wengi wamekua wakichukizwa mno na kusikitishwa sana kwa vitendo vya kinyama wanavyofanyiwa wenzetu. Basi nawasihi wenzangu kuwasaidia kwa hali na mali kufanya taratibu za kuwaombea waje kuishi nchini Marekani. Vilevile nahisi mataifa mengi yanasheria itakayo wa qualify hawa ndugu zetu kama wakimbizi. THEY ARE AT REAL RISK OF BEING MURDERED in their own country.Nimewahi kufundishwa kuwa uonapo uovu....ondoa kwa mkono wako, kemea kwa ulimi wako, ama chukia moyoni....Msemo huo unaendelea ...lakini hakika option ya tatu (kuchukia moyoni) ni dhaifu. Basi wakijulikana wanaowafanyia uovu hawa ndugu zetu wachukuliwe hatua madhubuti kwa kuwakamata na kuwapeleka moja kwa moja kwa vyombu vya sheria...(kuwapa kibano japo kidogo kabla ya kuwapeleka haitadhuru). Vilevile, seriously LET'S ALL PRAY FOR THEM. Tuandae siku ya kitaifa (japo ya ki-michuzi blog) ya kufunga siku nzima (wakristo kwa waislam dunia nzima), na kuwaombea. Hela zmbazo zingetumika kununulia fast food siku hiyo zitumike kununua skin products za kuwasaidia.Again...I can't even imagine how it feels like to constantly live in fear, not knowing who is your real enemy. Sometimes, the husband next to you on the same bed is the enemy, sometimes the uncle, and that well respected police officer in the village. I mean...you already struggle taking care of your skin disability, all the stares, rude comments in school...etc.May God/Allah/Jehova/Jah guide and protect all albinos,
May God protect us all.Pleeeease, keep the comments coming.Spread the news, too.Mdau TeQuann.

Warembo wa Miss Kilimanjaro kambini


Warembo wanaoshiriki katika kinyanganyiro cha miss kilimanjaro wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa riheso wakiwa kambini kwao.

Monday, April 26, 2010

TAARIFA MUHIMU KWA VYOMBO VYA HABARI!!


Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishna Msaidizi Abdallah Msika.

Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi


Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Kuratibu Silaha ndogondogo hapa nchini, Jumanne Aprili 27, 2010 saa 2.00 asubuhi itakutana ili kupitia maazimio ya mapendekezo ya mshwaada wa kurekebishaji sheria za kumiliki silaha hapa nchini.

Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishna Msaidizi Abdallah Mssika, amesema kuwa Mkutano huo ambao utafanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kuanzia saa 2.00 asubuhi, utawashirikisha baadhi ya Maafisa wa Wizara na Idara za Serikili zinazojihusisha na masuala ya kiusalama pamoja na baadhi ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.

Mkutano huo ambao pia utahudhuriwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai utafunguliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Lawrence Masha.

Kutokana na umuhimu na uzito wa masuala yatakayozungumziwa siku hiyo, Wahariri mnaombwa kutuma waandishi na wapiga Picha kwa ajili tukio hilo.

Rais wa Iran awasili Uganda!!


Rais wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad, amewasili nchini Uganda, ambako suala la mpango wa nuclear la Teheran linatarajiwa kuwa agenda kubwa katika mazungumzo yake na Rais Museveni.

Kwa hivi sasa Uganda ni mwanachama katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Siku ya Ijumaa, katika siku yake ya pili ya ziara nchini Zimbabwe, Bw Ahmadinejad aliyashtumu mataifa ya magharibi kwa kujaribu kuangamiza uchumi wa Iran na Zimbabwe.

Akifungua maonyesho ya biashara mjini Bulawayo, Bw Ahmadinejad alisema nchi hizo mbili zilipitia wakati mgumu wa kuingiliwa kati na mataifa hayo ya magharibi.

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ameunga mkono mpango wa nuclear wa Iran.

HII NDIYO ADHA YA UPATIKANAJI WA MAJI MANISPAA YA DODOMA!!


Hawa ni wakina mama wa kijiji cha Mgowa katika manispaa hiyohiyo ya Domoma wakitoka kuchota maji kwa umbali mrefu kutokana na matatizo ya upatikanaji wa maji katika vijiji vyao manispaa hiyo hivi sasa inajaribu kutandaza mabomba ya maji katika vijiji mbalimbali ili kuwapatia maji safi na salama wakazi wa manispaa hiyo.

MAADHIMISHO YA MIAKA 46 YA MUUNGANO!!


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono wananchi mbalimbali waliojitokeza kwenye maadhimisho ya miaka 46 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambapo wakazi mbalimbali walijitokeza katika sherehe hizo, kulia ni mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.

Omar al Bashir atangazwa mshindi Sudan!!


Matokeo ya kwanza kufuatia uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi katika kipindi cha miaka 24 yanatazamiwa kutangazwa leo nchini Sudan.

Mwandishi wa BBC mjini Khartoum anasema Rais Omar al Bashir anatazamiwa kutangazwa mshindi.

Salva Kiir, aliyekuwa kiongozi wa waasi wa kusini, SPLM, ametangazwa mshindi, kama rais wa serikali ya kusini, ambayo kwa kiasi fulani ina madaraka ya uongozi.

Uchaguzi katika sehemu zote ulikuwa na malalamiko mengi ya udanganyifu, na pia vitisho kwa wagombea, huku wasimamizi wa kimataifa nao wakisema kwamba viwango vya uchaguzi huo kamwe havikubaliki.

Majadiliano baada ya kazi ngumu!!


Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe. Mustafa Mkulo, KatibuMkuu Bw. Ramadhani Khijjah na Gavana wa Benki kuu Prof Beno Nduru pamoja na wadau wengine wakiwa katika mkutano katika moja ya shughuli za kuiwakilisha Tanzania kimatifa huko Washington DC nchini Marekani hivi karibuni.

Sean Kingston kuwasha moto Dar kwenye tuzo za kili awards may 15


Msanii wa muziki wa dancehall kutoka Marekani Sean KingstoneLive in Dar-es-salaam katika Kilimanjaro Winners Concert tarehe 15 May 2010 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Hall.

Hassan Mang'ula, nyota wa kutembea juu ya waya


Hassan akifanya vitu vyake White Sands Hotel ambako yeye na kundi lake hufanya shoo kila wikiendi na siku za sikukuu. Ona video yake chini kabisa ya mtundiko huu.

semina elekezi ya sheria za gharama za uchaguzi kwa TSN


Afisa toka Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa Bi. Monica Mwailolo akifafanua jambo kwa wanahabari wa Daily News na HabariLeo baada yakutoa mada ya Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010 kuhisiana na utekelzaji na matumizi yake kwenye uchaguzi mkuu. Semina hiyo inafanyika hoteli ya Peacock jijini Dar.

JK amtembelea Mbunge Kimaro Hospitalini Muhimbili


JK akizungumza leo asubuhi na Mbunge wa Vunjo(CCM) Aloyce Kimaro aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar baada ya kuugua shinikizo la damu juzi akiwa bungeni mjini Dodoma katikati ya wiki hii.

24 Apr MISS UNIVERSE 2010


Ni Hellen Dausen (23) kutoka mkoani Arusha anaemrithi Illuminata James baada ya kutwaa taji la Miss Universe Tanzania 2010 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar usiku wa kuamkia leo

Sunday, April 25, 2010

Vijana waishio mji wa Hyderabad India-Masomoni

Katika harakati za kumsindikiza mwenzao
aliyehitimu masomo yake ya masuala ya
Multimedia nchini humo.

Ambwene Yesaya alonga


msanii mahiri wa Bongoflava AY leo pamoja na mambo mengine anaongelea mipango yake ya sasa na baadaye katika fani ya bongoflava, mafanikio yake kwa ujumla na mengineyo mengi.

Thursday, April 22, 2010

Mafuta ya alizeti yatamba Mbeya


Mafuta ya alizeti ni mojawapo ya biashara mashuhuri kwa wajasiliamali mkoani mbeya. hapa ni soko la soweto
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUSOMA HABARI ZILIZOPITA BOFYA NENO OLDER POSTS HAPO JUU ASANTE SANA KWA KUTEMBELEA NA KARIBU TENA