SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, April 27, 2010

Mjadala kuhusu ndugu zetu maalbino:


Kikosi cha timu ya soka cha Albino United ambao wameamua kujiunga pamoja na kuunda timu itayowasaidia kuondoa unyanyapaa pamoja na kuweka afya zao kuwa safi. Hapa ni uwanja wao wa mazoezi jirani na hospitali ya Ocean Road jijini Dar
Mheshimiwa Michuzi na Wadau wengine;Nashukuru kwa fursa hii ya kutoa maoni yangu kuhusiana na jambo muhimu sana linalotuhusu bina-adamu wote, kutetea na luokoa wanaokandamizwa na kuonewa. Kunradhi kwa upungufu wa msamiati wangu, nitajaribu kuwa wazi na kujaribu kuhakikisha ujumbe unafika kwa wasomaji wote na haswa walengwa.Watanzania wengi, kama si wote tunafahamu unyama unaoendelea dhidi ya Maalbino nchini tanzania, na baadhi ya nchi jirani yetu. Cha kusikitisha ni kuwa serikali haijafanikiwa kusimamisha unyama huo, nanukuu kutoka jarida la The globe and the mail,"The grisly trade in albino body parts is supported by powerful forces – even politicians and police officers, according to experts – and prosecutions have been slow. At least five policemen were among the dozens arrested after the attacks, but only two of the 56 homicides have led to criminal convictions. The affluent buyers who pay for the body parts have never been identified in court or police records".Sitaki kupoteza muda, suggestion yangu kwa maalbino wanaoishi Tanzania...na wote wanaowafahamu. U.S.A cares for human rights. Nimeongea na baadhi ya wanasheria na wengi wanasema kesi ya ndugu zetu hao maalbino, inaweza ku-qualify waweze kuhamia U.S.A kama wakimbizi. Nauhakika watanzania wenzangu wengi wamekua wakichukizwa mno na kusikitishwa sana kwa vitendo vya kinyama wanavyofanyiwa wenzetu. Basi nawasihi wenzangu kuwasaidia kwa hali na mali kufanya taratibu za kuwaombea waje kuishi nchini Marekani. Vilevile nahisi mataifa mengi yanasheria itakayo wa qualify hawa ndugu zetu kama wakimbizi. THEY ARE AT REAL RISK OF BEING MURDERED in their own country.Nimewahi kufundishwa kuwa uonapo uovu....ondoa kwa mkono wako, kemea kwa ulimi wako, ama chukia moyoni....Msemo huo unaendelea ...lakini hakika option ya tatu (kuchukia moyoni) ni dhaifu. Basi wakijulikana wanaowafanyia uovu hawa ndugu zetu wachukuliwe hatua madhubuti kwa kuwakamata na kuwapeleka moja kwa moja kwa vyombu vya sheria...(kuwapa kibano japo kidogo kabla ya kuwapeleka haitadhuru). Vilevile, seriously LET'S ALL PRAY FOR THEM. Tuandae siku ya kitaifa (japo ya ki-michuzi blog) ya kufunga siku nzima (wakristo kwa waislam dunia nzima), na kuwaombea. Hela zmbazo zingetumika kununulia fast food siku hiyo zitumike kununua skin products za kuwasaidia.Again...I can't even imagine how it feels like to constantly live in fear, not knowing who is your real enemy. Sometimes, the husband next to you on the same bed is the enemy, sometimes the uncle, and that well respected police officer in the village. I mean...you already struggle taking care of your skin disability, all the stares, rude comments in school...etc.May God/Allah/Jehova/Jah guide and protect all albinos,
May God protect us all.Pleeeease, keep the comments coming.Spread the news, too.Mdau TeQuann.

0 comments:

Post a Comment